Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matokeo ya IEBC Odinga anaongoza, Reuters yamuweka Ruto mbele

Batch 62753746 303 Matokeo ya IEBC Odinga anaongoza, Reuters yamuweka Ruto mbele

Sun, 14 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matokeo rasmi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yanaonesha mwanasiasa mkongwe nchini Kenya, Raila Odinga, akiongoza kwenye mbio za kuwania urais, huku ya Reuters yakimuweka William Ruto nafasi ya juu.

Matokeo rasmi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yanaonesha mwanasiasa mkongwe nchini Kenya, Raila Odinga, akiongoza kwenye mbio za kuwania urais, huku ya Reuters yakimuweka William Ruto nafasi ya juu. Matokeo rasmi yaliyotangazwa Jumamosi na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)yanaonesha mwanasiasa mkongwe nchini Kenya, Raila Odinga, akiongoza kwenye mbio za kuwania urais, huku ikiwa ni asilimia 26 tu ya kura zilizohisabiwa tangu uchaguzi kumalizika siku tano zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live