Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matiang'i atangaza Julai 20, kuwa siku ya mapumziko kuadhimisha Eid al-Adha

C2ceb312c4a99a28 Matiang'i atangaza Julai 20, kuwa siku ya mapumziko kuadhimisha Eid al-Adha

Fri, 16 Jul 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i ametangaza Julai 20, 2021 kuwa siku ya mapumziko ya kuadhimisha siku kuu ya Idd-Ul-Adha.

Kulingana na notisi yake kwa gazeti la taifa, Waziri Matiang'i alisema," Taifa limefahamishwa kwamba siku ya Jumanne Julai 20, 2021 itakuwa ya mapumziko ili kuadhimisha siku kuu ya Idd-Ul-Adh.:

.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke