Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marekani yaongeza shinikizo uchaguzi Somalia

Polls Somalia Marekani yaongeza shinikizo uchaguzi Somalia

Fri, 18 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marekani imeendelea kuongeza shinikizo kwa viongozi nchini Somalia kuhakikisha uchgauzi Mkuu wa taifa hilo unafanyika kwa wakati ikiwa ni pamoja na kufunga vibali vya kusafiri kwenda Marekani kwa baadhi ya viongozi nchini humo.

Uchaguzi wa Somalia umechelewa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na sababu amabzo zzimetajwa kuwa hazina mashiko.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alitangaza vikwazo vya ziada vya viza kwa watu wanaofikiriwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia nchini Somalia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live