Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marekani yaagiza raia wake kuondoka Ethiopia

Ethyooopia Marekani yaagiza raia wake kuondoka Ethiopia

Wed, 3 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ubalozi wa Marekani mjini Addis Ababa umesema kutokana na hali ya kiusalama ya nchi hiyo kuzorota kwa kiasi kikubwa , ubalozi unashauri raia wake kufikiria kuanza kujiandaa kuondoka katika nchi hiyo".

Katika taarifa ambayo ameiandika kwenye kurasa ya Facebook ya ubalozi imetoa onyo kwa watu kusafiri kwenda Addis Ababa.

Wakati huo huo , katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, wito kutaka hatua haraka zichukuliwe kuzuia ghasia kwa kuwa athari inayoweza kutokea Ethiopia itahatarisha eneo kubwa”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live