Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapigano yazuka tena Tigray

Mtanzanianews 131888783 395400528358820 2104185578586925488 N 660x400 Mapigano yazuka tena Tigray

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Nchini Ethiopia, mapigano yanaendelea kushuhudiwa katika jimbo la Tigray, lakini imekuwa ni vigumu kufahamu ni wapi yanapotokea kwa sababu ya mawasiliano mabaya.

Ikumbukwe zimepita siku 45 tangu Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aagize operesheni ambayo ilibaini kuwa imemalizika ingawa hakuna kiongozi hata mmoja wa chama cha Tigrayan TPLF ambaye amekamatwa.

Ahmed ameendelea kutegemea kupata uugwaji mkono kutoka kwa  vikosi vya Eritrea, hata kama Asmara inaendelea kukanusha kuhusika katika vita hivyo.

Aidha, anaendelea kupata  msaada mkubwa kutoka kwa wanamgambo na vikosi maalum katika mkoa wa Amhara, ambao unapakana na Tigray.

WAZIRI MKUU AMTUMBUA MKANDARASI “HAIWEZEKANI, ONDOA KUBEMBELEZA SIO SERIKALI HII”

Chanzo: millardayo.com