Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maoni ya mtoto wa Museveni sio ya Uganda

Muhoozi123 Meja Jenerali Muhoozi

Fri, 8 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Uganda limesema tweets za Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) kuunga mkono waasi wa TPLF nchini Ethiopia ni maoni yake binafsi na sio msimamo wa serikali ya Uganda.

Jeshi la Uganda limesema tweets za Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) kuunga mkono waasi wa TPLF nchini Ethiopia ni maoni yake binafsi na sio msimamo wa serikali ya Uganda. Jenerali Muhoozi alituma taarifa za kuunga mkono waasi wa Tigray kupitia Twitter na kuishutumu serikali ya Ethiopia kwa ukiukaji wa haki za binadamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live