Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandera: Basi lashambuliwa na Magaidi, Abiri Kadhaa Wahofiwa kufariki Dunia

5fc85023af4f439c Mandera: Basi lashambuliwa na Magaidi, Abiri Kadhaa Wahofiwa kufariki Dunia

Wed, 24 Mar 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Abiri kadhaa waliokuwa kwenye basi wakisafiri kuelekea Mandera wanahofiwa kufariki baada ya gari hilo kugonga vilipulizi barabarani.

Ripoti zilizofikia TUKO.co.ke zinasema basi hilo lilikuwa likitoka eneo la Lafey Jumatano asubuhi kuelekea Mandera wakati kisa hicho kilitokea.

Tayari watu watatu wamedhibitishwa kufariki huku polisi wakisema huenda idadi hiyo ikaongezeka.

Mengi kufuata . . .

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke