Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama amuuza mwanae kwa laki 8 ili alipe kodi

Bokoo .jpeg Mama amuuza mwanae kwa laki 8 ili alipe kodi

Sat, 23 Oct 2021 Chanzo: NigeriaNews

Mama wa miaka 23 Miss Mercy Okon kutoka nchini Nigeria amemuuza mtoto wake mwenye miezi mitatu kwa pesa ya Nigeria N 150,000 sawa na Tsh 841,036.

Mama wa miaka 23 Miss Mercy Okon kutoka nchini Nigeria amemuuza mtoto wake mwenye miezi mitatu kwa pesa ya Nigeria N 150,000 sawa na Tsh 841,036. Mama huyo anasema amefanya kitendo hicho kwa ajili ya kujisaidia kulipa kodi ya nyumba, kukabiliana na bili zingine kwa kuwa yeye ni maskini.

Chanzo: NigeriaNews