Mon, 12 Sep 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rais wa mpito, Assimi Goita amesema anatazamia suluhu ya kidiplomasia itakayonufaisha pande zote mbili ili kuwaachia huru wanajeshi hao huku akiweka wazi kuwa Ivory Coast imewapa hifadhi wanasiasa wanaotafutwa na utawala wake.
Mnamo Julai 10, wanajeshi 49 Ivory Coast walizuiliwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mali kwa kudhaniwa kuwa mamluki japokuwa Ivory Coast imesema walikua katika kikosi cha kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo.
Hata hivyo Rais huyo hakutaja ni fidia gani anaitaka kutokana na mzozo huo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live