Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malawi yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa

Malawi Yatangaza Ukame Kuwa Janga La Kitaifa Malawi yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: Bbc

Malawi imetangaza kuwa janga la kitaifa hali ya ukame inayokumba sehemu kubwa ya nchi hiyo.

Tangazo hilo linakuja chini ya mwezi mmoja baada ya taifa jirani la Zambia kuchukua hatua kama hiyo.

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameomba zaidi ya dola milioni 200 kama msaada wa kibinadamu.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani limesema mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika nakabiliwa na tishio la baa la njaa kwa sababu ya athari za hali ya hewa ya El Nino.

Chanzo: Bbc