Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makumi ya wafungwa watoroka gereza kuu la Comoro wakitembea

Makumi Ya Wafungwa Watoroka Gereza Kuu La Comoro Wakitembea Makumi ya wafungwa watoroka gereza kuu la Comoro wakitembea

Thu, 11 Apr 2024 Chanzo: Bbc

Mamlaka nchini Comoro zimesema makumi ya wafungwa wametoroka katika gereza moja katika mji mkuu Moroni, kwa kutembea wakipita tu kwenye lango kuu.

Mwendesha mashtaka wa umma visiwani humo, Ali Mohamed Djounaid, alisema wafungwa 38 walitoweka katika Gereza la Moroni, kubwa zaidi katika visiwa hivyo.

Aliwalaumu walinzi waliozembea. Msemaji wa serikali alisema kutoroka kunaonekana kuwa kulipangwa mapema.

Chanzo: Bbc