Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yazuia sadaka kutozwa kodi

KUTOA SADAKA Mahakama yazuia sadaka kutozwa kodi

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama Kuu imeizuia Mamlaka ya Mapato nchini Kenya KRA kutoza kodi kutoka kwenye fungu la kumi, sadaka na misaada zinazotolewa kanisani.

Mahakama Kuu imeizuia Mamlaka ya Mapato nchini Kenya KRA kutoza kodi kutoka kwenye fungu la kumi, sadaka na misaada zinazotolewa kanisani. Agizo linakuja mara baada ya KRA kudai kodi ya TZS bilioni 109 kutoka katika kanisa la Thika Road Baptist ambazo zilikuwa zikidaiwa kutoka kweney makusanyo ya fungu la kumi, sadaka na misaada inayotolewa kanisani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live