Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yasitisha ujenzi wa Amazon

Amazon Mahakama yasitisha ujenzi wa Amazon

Tue, 22 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama nchini Afrika Kusini imesimamisha ujenzi wa Makao Makuu ya Amazon Africa, kwenye ardhi takatifu, Jaji Patricia Goliath amesema Liesbeek Leisure Properties Trust (LLPT), Mmilii wa eneo la ekari 37 huko Cape Town, Afrika Kusini lazima asimamishe ujenzi mara moja akisubiri mashauriano sahihi na ya maana na Watu wa asili wa kabila la Khoi na San.

Watu wa kabila ya Khoi na San wameishi Afrika Kusini kwa maelfu ya miaka, maendeleo ya makazi na biashara yanajengwa kwenye makutano ya mito miwili, karibu na maeneo ya malisho ambayo yalikuwa na sherehe na ambapo watu wa asili walipigana na Wavamizi, uamuzi umesema.

Afrika Kusini inakumbwa na tatizo kubwa la ajira, mradi huu ungetoa ajira nyingi kwa Watu wa eneo hilo; ila bado Watu wa asili la eneo hilo lazima wahusishwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live