Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yasitisha Mashtaka binafsi ya Zuma dhidi ya Ramaphosa

Zuma Na Ramaphosa Rais Cyril Ramaphosa na Jacob Zuma

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Desemba 2022, Jacob Zuma alifungua mashtaka akimshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Mwendesha mashtaka wa Serikali, na Mwandishi wa Habari kwa madai ya kufichua rekodi zake za siri za Matibabu.

Desemba 2022, Jacob Zuma alifungua mashtaka akimshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Mwendesha mashtaka wa Serikali, na Mwandishi wa Habari kwa madai ya kufichua rekodi zake za siri za Matibabu. Mashtaka hayo yalihusishwa na Kampeni ambayo haikufanikiwa ya Rais Zuma akitaka kumwondoa Billy Downer anayemchunguza kwa tuhuma za Rushwa zinazohusiana na Mkataba wa Silaha wa Miaka ya 90.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live