Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yaamuru mtuhumiwa mauaji ya Kimbari aachiwe huru

Mahakama Yaamuru Mtuhumiwa Mauaji Ya Kimbari Aachiwe Huru Mahakama yaamuru mtuhumiwa mauaji ya Kimbari aachiwe huru

Tue, 8 Aug 2023 Chanzo: Nipashe

Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Umoja wa Mataifa, wameamuru kuwa mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Félicien Kabuga aachiwe na kwamba kesi ya uhalifu wa kivita dhidi yake isitishwe kwa muda usiojulikana.

Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Umoja wa Mataifa, wameamuru kuwa mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Félicien Kabuga aachiwe na kwamba kesi ya uhalifu wa kivita dhidi yake isitishwe kwa muda usiojulikana. Mahakama ya uhalifu wa kivita ya Umoja wa Mataifa mapema mwenzi Juni iliamua kuwa Kabuga hafai kufikishwa mahakamani kutokana na ugonjwa wa akili lakini walipendekeza taratibu mbadala zifanyike.

Chanzo: Nipashe