Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama Misri yafuta kesi dhidi ya mashirika 20 yasiyo ya kiserikali

Screenshot 2020 12 06 At 12.45.59 660x400.png Mahakama Misri yafuta kesi dhidi ya mashirika 20 yasiyo ya kiserikali

Mon, 7 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya Rufaa nchini Misri imeagiza uchunguzi wa muda mrefu wa Mashirika 20 yasiyo ya Serikali (NGOs) yanayotuhumiwa kupokea fedha kinyume ya Sheria kufungwa.

Jaji wa Mahakama hiyo, Ali Mokhtar pia ametoa amri kwa Mashirika hayo kutofunguliwa kesi, watu 43 wakiwemo raia wa Misri, Marekani, Ulaya walifunguliwa mashtaka.

Desemba waka 2011, Mamlaka nchini humo zilivamia Makao Makuu ya NGOs hizo zikiwemo Freedom House ya Marekani, International Republican Institute na National Democratic Institute.

Vyombo vya habari vya Serikali viliwashutumu kuhusika katika njama za kuvuruga utulivu wa nchi hiyo, kesi ambayo ilidhoofisha uhusiano kati ya Cairo na utawala wa Obama.

LIVE: SAKATA LA MEMBE, UCHAGUZI MKUU ACT WAZALENDO WANAZUNGUMZA MUDA HUU

Chanzo: millardayo.com