Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama Kuu Kenya yaifuta BBI

92e6e0158b8a3713 Mahakama ya Rufaa Kenya yaifuta BBI

Fri, 20 Aug 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali maamuzi ya Mahakama ya Juu yaliyotupilia mswada wa BBI.

Majaji saba wa Mahakama ya Rufaa ndio walizima reggae baada ya kukubaliana na Mahakama ya Juu kuwa sheria haikuzingatiwa katika kuanzisha na kuendesha mchakato huo.

Majaji Daniel Musinga na Patrick Kiage walisema tatizo kubwa la BBI ni wajibu aliotekeleza Rais Uhuru Kenyatta.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke