Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama Congo DR yabatilisha ushindi wa wabunge 40

Kura Kuendelea Leo DRC Mahakama Congo DR yabatilisha ushindi wa wabunge 40

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Kikatiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imebatilisha ushindi wa Wabunge 40 kwasababu ya shutuma za makosa mbali mbali katika ushindi uliotangazwa miezi miwili iliyopita.

Wabunge hao 40 wanaishutumu Mahakama Kuu ya kikatiba kwa kushindwa kuwatendea haki wengi wao wakishutumiwa kuhusika katika wizi wa kura na viashiria vya kuvuruga uchaguzi uliopita.

Hata hivyo, wamefahamisha kuwa wanakwenda kukataa rufaa kuhusiana na hatua hiyo iliyochukuliwa na Mahakama hii ikiwa si mara ya kwanza kwa hatua kama hiyo kuchukuliwa nchini DRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live