Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari ya tinted yapigwa marufuku

Tinted Car Ers Magari ya tinted yapigwa marufuku

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nigeria imepiga marufuku matumizi ya magari yenye vioo vyeusi (Tinted) kwenye jimbo la Enugu linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo ikiwa ni mpango maalumu wa kukabiliana na matukio ya uhalifu.

Nigeria imepiga marufuku matumizi ya magari yenye vioo vyeusi (Tinted) kwenye jimbo la Enugu linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo ikiwa ni mpango maalumu wa kukabiliana na matukio ya uhalifu. Wamiliki wa magari yenye vioo hivyo wamepewa muda hadi Septemba 08, 2023 ili kupata kibali kutoka kwa polisi na baada ya hapo wataanza kukamatwa na kutozwa faini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live