Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magaidi waliotoroka gerezani Kenya wakamatwa wakijaribu kuingia Somalia

Magaid Kenya Magaidi waliotoroka gerezani Kenya wakamatwa wakijaribu kuingia Somalia

Thu, 18 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Magaidi hatari wa #AlShabaab waliotoroka katika Gereza la Kamiti, Mohammed Ali Abikar, Joseph Juma Odhiambo na Musharaf Abdallah Washiali almaarufu Shukri almaarufu Alex Shikanda wamekamatwa huko Kitui wakiwa njiani kuelekea nchini Somalia. Kazi za Polisi Jamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live