Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafuriko Kenya: Nyumba za mabanda zilizojengwa karibu na mito kubomolewa

Mafuriko Kenya Nyumba Kubomolewa Mafuriko Kenya: Nyumba za mabanda zilizojengwa karibu na mito kubomolewa

Fri, 3 May 2024 Chanzo: Bbc

Matukio kutoka Mukuru Kwa Reuben yanaonyesha kubomolewa kwa mamia yamakazi yenye nyumba za mabanda katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya. Hatua hii inafuatia agizo la Rais wa Kenya William Ruto.

Matukio kutoka Mukuru Kwa Reuben yanaonyesha kubomolewa kwa mamia yamakazi yenye nyumba za mabanda katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya. Hatua hii inafuatia agizo la Rais wa Kenya William Ruto. Agizo hilo linaamuru kuondolewa kwa majengo yoyote yaliyo ndani ya mita 40 kutoka kwenye mto. Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo la Mukuru Kwa Reuben:

Chanzo: Bbc