Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mackenzie apatikana na hatia filamu za uchochezi dhidi ya wasio Wakristo

Mackenzie Apatikana Na Hatia Filamu Za Uchochezi Dhidi Ya Wasio Wakristo Mackenzie apatikana na hatia filamu za uchochezi dhidi ya wasio Wakristo

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: Radio Jambo

Paul Mackenzie amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu ambazo hazijaainishwa na kuendesha studio ya kurekodia bila kuwa na leseni halali ya kurekodi filamu.

Mwendesha mashtaka Joseph Mwangi alithibitisha kesi hiyo siku ya Ijumaa..

Mahakama pia iliamuru kwamba ripoti ya mapema ya hukumu iwasilishwe na Huduma ya Uangalizi na Huduma za Baadaye ili kunasa hisia za mlalamishi, ambaye ni Mwendesha Mashtaka.

Kesi hiyo itatajwa Desemba 1.

Chanzo: Radio Jambo