Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabegi Yaliyotelekezwa yazua Taharuki Uganda

FE80xThWQAEJAZU Mabegi Yaliyotelekezwa yazua Taharuki Uganda

Wed, 24 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Polisi nchini Uganda wameondoa mabegi yametelekezwa mtaani katika Mji Mkuu nchi hiyo, Kampala baada ya kusababisha hofu ya mabomu mjini humo. Tovuti ya habari ya eneo hilo imechapisha picha za operesheni ya polisi.

Polisi nchini Uganda wameondoa mabegi yametelekezwa mtaani katika Mji Mkuu nchi hiyo, Kampala baada ya kusababisha hofu ya mabomu mjini humo. Tovuti ya habari ya eneo hilo imechapisha picha za operesheni ya polisi. Wakazi wamekuwa katika hali ya tahadhari tangu mashambulio ya wiki iliyopita ya kujitoa muhanga yaliyoua watu wanne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live