Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maandamano yasababisha kifo cha Muafrika India

MCONGO22 Waandamanaji wa Pan-Afriacan Federation

Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanafunzi aliyetambulika kwa jina la Joel Shindani Malu (27) raia wa Congo DR, amefariki dunia akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi katika mji wa Bengaluru nchini India.

Polisi nchini humo wanadai kuwa kijana huyo alipatikana akifanya biashara ya dawa za kulevya huku pia akiwa na vidonge vya maradhi ya saikolojia. Hata hivyo maelezo ya Jeshi hilo yammeonekana kama ngonjera kwa waandamanaji wakikundi cha kutetetea haki za wanafunzi wa kiafrika nchini humo kinachoitwa "Pan African Federation" hali iliyopelekea waandamanaji sita wa kiafrika kujeruhiwa vibaya

Hadi sasa Jeshi la Polisi nchini humo bado linafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo kifo cha mwanafunzi huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live