Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maandamano Kenya: Guterres asikitishwa na ripoti ya vifo na majeruhi

Video Archive
Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: Bbc

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu matukio yaliyoshuhudiwa katika maandamano ya kupinga muswada wa fedha nchini Kenya.

''Nimesikitishwa sana na ripoti za vifo na majeruhi - ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari na wafanyikazi wa matibabu - yaliyohusishwa na maandamano ya mitaani nchini Kenya.''

Bw. Guterres ametoa wito kwa mamlaka za Kenya zijizuie, na kuwaomba wanaoshiriki maandamano kufanya hivyo kwa amani.

Chanzo: Bbc
Related Articles: