Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maafisa 6 wa usalama Burknafaso wauwa katika shambulio la jihadi

Burknafaso Maafisa 6 wa usalama Burknafaso wauwa katika shambulio la Jihadi

Tue, 14 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maafisa wa usalama wapatao sita wa nchini Burknafaso waliokuwa wakisafirisha malori ya mafuta kutoka kwenye mgodi wa machimbo ya dhahabu karibu na mpaka wa Niger wameshambuliwa na wanamgambo wa jihadi.

Aidha katika shambulio hilo watu wengine saba wamejeruhiwa, huku mamlaka za usalam azikiwa bado hazijawatia nguvu walio husika katika tukio hilo.

Ikiwa ni miaka miwili tu imepita tangu watu 39 kuuwawa katika msafara wa magari uliokuwa ukitoka katika machimbo hayo, na kupelekea kufungwa kwa shuguli za uzalishaji kwa takribani mwaka mmoja.

Inaelezwa kuwa tangu mwaka 2015 mashambulio ya makundi yenye uhusiano na Islamic State na al-Qaeda wamewauwa zaidi ya watu 1,500 na kuwalazimisha zaidi ya milioni moja wengine kuyahama makazi yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live