Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MWANADADA AJIOWA MWENYEWE BAADA YA KUKOSA MWANAUME MUAMINIFU

Capture 517?fit=585%2C310 MWANADADA AJIOWA MWENYEWE BAADA YA KUKOSA MWANAUME MUAMINIFU

Wed, 2 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mwanadada mmoja wenye asili ya Somalia ambae anaishi nchini Australia, amewashangaza wengi baada ya Kula kiapo cha kujioa yeye mwenyewe.

Mwanadada mmoja wenye asili ya Somalia ambae anaishi nchini Australia, amewashangaza wengi baada ya Kula kiapo cha kujioa yeye mwenyewe. Mwanadada huyo ambae anafahamika kwa Jina la Ayoul Manyok, amesema kuwa amefika uamuzi huo baada ya Kuchoshwa na wanaume ambao wengi amedai hawana mapenzi ya kweli na wamejaa udanganyifu .

Chanzo: zanzibar24.co.tz