Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MUSEVENI ATEUA MWANAE MKUU WA KIKOSI ULINZI WA RAIS

E2f0775c34e73a79a53376bda97ae9a6 MUSEVENI ATEUA MWANAE MKUU WA KIKOSI ULINZI WA RAIS

Fri, 18 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF) na kumrejesha mwanae Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais (SFC)

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF) na kumrejesha mwanae Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais (SFC) Jenerali Mhoozi amerudishwa kwenye cheo ambacho aliwahi kukitumikia kabla ya kubadilishwa kuwa mshauri wa Rais Museveni katika masuala ya ulinzi.

Chanzo: habarileo.co.tz