Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) imeanza kutangaza matokeo ya awali ya nafasi ya urais baada ya kutoka katika vituo vya kupigia kura.
Matokeo hayo yanatokana na Fomu namba 34A kutoka kwenye vituo vya upigaji kura ambayo yameanza kusomwa dakika 30 tu baada ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura kufuatia kukamilika kwa zoezi la upigaji kura lililofungwa saa 11:00 jioni na kuanza kuhesabu kura.
Kwa mujibu wa chombo cha Habari cha The Standard nchini Kenya, kimeripoti kuwa mpaka saa 3:00 usiku, jumla ya fomu 26,579 kati ya fomu 46,229 ambazo ni sawa na asilimia 57.49 ya fomu hizo zilikuwa zimepokelewa na tume hiyo.
Matokeo ya awali urais kutokana na fomu namba 34A ambayo mpaka sasa yameshatangazwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Azimio, Raila Odinga anaongoza kwa asilimia 55.96 huku mpinzani wake, William Ruto wa akiwa na silimia 44.04.
Kolowa Ward, Tiaty Constituency, Baringo County
Raila – 051, Ruto – 003, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Kakamega Women Polling Station
Raila – 002, Ruto – 000, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Shimo La Tewa Medium Polling Station
Raila – 004, Ruto – 004, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Shimo La Tewa Women Polling Station,
Raila – 001, Ruto – 002, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Kilgoris Prison Station
Raila – 004, Ruto – 000, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Olesintir Primary School Polling Station, Olpusimoru Ward, Narok North Constituency, Narok County
Raila – 047, Ruto – 001, Waihiga – 000, Wajackoyah – 000
Chepotindar Primary School Polling Station, Ribkwo Ward, Tiaty Constituency
Raila – 055, Ruto – 048, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Malindi Women Polling Station
Raila – 000, Ruto – 001, Waihiga – 000, Wajackoya - 000
Malindi Women Polling Station
Raila – 000, Ruto – 001, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Kibos Main Prison (8) Polling Station
Raila – 024, Ruto – 003, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Karuri Primary School Polling Station, Tseikuru Ward, Mwingi North Constituency
Raila – 011, Ruto – 004, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Tingamara A.P Polling Station, Sosian Ward, Laikipia North Constituency, Laikipia County
Raila – 004, Ruto – 001, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Kipomot ECDE Centre Polling Station, Alale Ward, Kacheliba Constituency West Pokot County
Raila – 019, Ruto – 015, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Churum Primary School Polling Station, Kasei Ward, Kacheliba Constituency
Raila – 063, Ruto – 073, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Urum Trading Center Polling Station, Lokiriama/Lorengippi Ward, Loima Constituency, Turkana County
Raila – 009, Ruto – 003, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Kadakaikeny ECD Centre Polling Station, Kang’atotha Ward, Turkana Central Constituency, Turkana County
Raila – 001, Ruto – 012, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Lomelo Primary School Polling Station, Kapedo Ward, Turkana East Constituency
Turkana County
Raila – 009, Ruto – 028, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Nakuja Ekalale Polling Station, Katulu Ward, Turkana South Constituency
Raila – 018, Ruto – 001, Waihiga – 000, Wajackoya – 000
Lokitoliwo Pry School Polling Station, Lokichar Ward, Turkana South Constituency
Raila – 031, Ruto – 004, Waihiga – 000, Wajackoya – 001.
Updates ya matokeo: Saa 5:00 usiku
Raila Odinga - kura 154,449 (50.39%)
William Ruto - kura 150,157 (48.99%)
George Wajackoyah - kura 1,270 (0.41%)
David Waihiga - kura 637 (0.21%)
Update saa 5:30 usiku, Agosti 09, 2022
Updates saa 6:40 usiku, Agosti 10, 2022.
WILLIAM SAMOEI RUTO - 455,119 (48.08%) UDA
RAILA ODINGA - 445,445 (47.06%) AZIMIO
GEORGE LUCHIRI WAJACKOYAH - 4,147 (0.43%) ROOTS
DAVID MWAURE WAIHIGA - 1,760 (0.18%) AGANO.
Updates saa 7:00 usiku, Agosti 10, 2022
Updates saa 1:30 asubuhi, Agosti 10, 2022
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais nchini Kenya hadi Agosti 10 saa 2:30 asubuhi;
William Ruto (UDA)- 50.76%
Raila Odinga (AZIMIO)- 48.61%
George Wajackoyah (RPK)- 0.42%
David Waihiga (AGANO)- 0.21%
Updates: Agosti 10, 2022, saa 9:30 mchana
Wakati matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, matokeo ya awali mpaka saa 9:30 mchana yanaonesha Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga, anaongoza kwa kura 2,082,109 sawa na 50.55% huku Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto akiwa na kura 1,979,549 sawa na 48.06%.
Agosti 11, 2022 saa 7:30 mchana
Vituo vilivyohesabiwa ni 46,142/46,229
Raila Odinga 7,015,963 sawa na 50.13%
William Ruto 6,766,843 sawa na 48.35%
Vimebakia vituo 87 pekee kuhesabiwa.
Endelea kufuatilia TanzaniaWeb kwa updates zote za uchaguzi Kenya.