Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Langzy MC aachia kitu "Linah"

A4e8ac35 4c49 438d B8b5 2437a1c6deb5 Langzy MC aachia kitu "Linah"

Thu, 22 Apr 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Queensland, Australia

Rapa mwenye asili ya Burundi anayeishi nchini Australia, Langzy MC, amewaomba mashabiki wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake, Linah

Langzy, ameliambia www.mtanzania.co.tz kuwa ngoma hiyo ina ujumbe mzuri wa mapenzi ambao anatamani kila mtu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki ausikilize.

“Nimeachia video ya wimbo wangu Linah, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube naomba mashabiki waende kuitazama naamini wataburudika pia nimeanzisha #linahchallenge kwa yeyote anayeweza kuucheza na kuweka hiyo ‘hushtag’ Instagram mimi nitachapa kwenye ukurasa wangu,” amesema Langzy MC.

Chanzo: mtanzania.co.tz