Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIBYA: Zaidi ya 5,300 walikufa katika mafuriko - waziri

Maelfu Ya Watu Wahofiwa Kufa Baada Ya Mafuriko Kukumba Libya #LIBYA: Zaidi ya 5,300 walikufa katika mafuriko - waziri

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: Bbc

Zaidi ya miili 5,300 imehesabiwa katika mji uliokumbwa na mafuriko nchini Libya wa Derna kufikia sasa, waziri wa utawala wa mashariki mwa Libya ameliambia shirika la habari la Reuters.

Zaidi ya miili 5,300 imehesabiwa katika mji uliokumbwa na mafuriko nchini Libya wa Derna kufikia sasa, waziri wa utawala wa mashariki mwa Libya ameliambia shirika la habari la Reuters. Hichem Abu Chkiouat, waziri wa usafiri wa anga, anasema idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka, na huenda hata kiwa maradufu.

Chanzo: Bbc