Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutoka kuuza Samaki hadi Ubunge

Samaki Ed Kutoka kuuza Samaki hadi Ubunge

Mon, 24 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Hellen Auma maarufu Mama Busia ni mbunge wa viti maalum kutoka wilaya ya Busia,mashariki mwa Uganda katika mpaka wa Uganda na Kenya.

Ana historia ndefu mpaka kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa kiti maalum, amehitimu masomo yake katika Chuo Kikuu cha Kyambogo mwaka 2019 na kupata shahada ya kwanza ya Sayansi ya kijamii.

Wakati anasoma katika chuo hicho mjini Kampala alikuwa akifanya biashara ndogo ndogo ya kuweza kumsaidia kukimu mahitaji yake chuoni . Alichoma samaki na kuwauzia wenzake huko chuo 

Chanzo: ippmedia.com