Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutana na msomi mwenye PHD aliyeamua kufundisha Chekechea

Msomi?fit=550%2C320&ssl=1 Mwalimu

Tue, 14 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Walimu watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za Awali [chekechea] kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo.

Dkt John Timon Owenga, Dkt Violet Otieno na Dkt Daughty Akinyi wamehitimu Elimu ya Uzamivu (PhD) katika chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jaramogi Oginga mwaka 2018.

Tangu kuhitimu Elimu hiyo, walimu hao hawajapandishwa vyeo wala kubadilishiwa nafasi.

Chanzo: globalpublishers.co.tz