Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kusomwa kwa Bajeti: Barabara za jiji zafungwa ili waheshimiwa wapite

E00eb491b58da17e W Kusomwa kwa Bajeti: Barabara za jiji zafungwa ili waheshimiwa wapite

Thu, 10 Jun 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Serikali imetangaza kufungwa kwa barabara kadhaa za jiji leo ili kuruhusu waheshimiwa waweze kuhudhuria kikao cha kusomwa kwa bajeti.

Kulingana na mshirikishi wa Nairobi James Kianda, Wizara ya Usalama wa Ndani itachukua hatua hiyo ili kuzuia msongamano.

Barabara za Parliament, Harambee Avenue, Taifa Road na City Hall Way zitafungwa leo kati ya saa saba mchana na kumi na moja jioni.

"Zitafungwa kati ya saa saba mchana na saa 5:30 p.m leo ili kuwapa wabunge, maseneta na maafisa kutoka Hazina ya Kitaifa muda wa kufika bungeni," Kianda alisema.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke