Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocho Pitso wa Mamelod aandika historia Afrika

8A00C241 36CC 4E4E A067 32FE6BBAE0E3 660x400.jpeg Kocho Pitso wa Mamelod aandika historia Afrika

Wed, 30 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Kocha Pisto Mosimane wa Afrika Kusini leo ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya ukocha katika club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Pitso anaondoka Mamelod baada ya kudumu nayo kwa miaka 8 tokeo 2012, ambapo akiiongoza timu hiyo amefanikiwa kutwaa jumla ya Makombe 11.

Hata hivyo kama kweli atasaini kuifundisha club ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane atakuwa kocha wa kwanza Afrika ambaye hatokei Misri kuifundisha club hiyo ya Al Ahly.

Chanzo: millardayo.com