Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kivuko chaua watu 10 Misri

Ferry Sink In Nile (600 X 337) Kivuko chaua watu 10 Misri

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WATU 10 kati ya 15 wamekufa baada ya kivuko walichokuwa wamepanda kuzama katika Mto Nile nje kidogo ya mji mkuu wa Misri, mamlaka inaeleza.

Watano walionusurika waliwahishwa hospitalini na baadaye kuruhusiwa, Wizara ya Wafanyakazi ilisema katika taarifa.

Wizara ilitenga fidia ya pauni 200,000 za Misri kwa kila familia ya marehemu na pauni 20,000 kwa kila mmoja wa watano waliojeruhiwa.

Tukio hilo lilitokea katika mji wa Monshat el-Kanater huko Giza, ambao ni moja ya majimbo matatu yanayounda Greater Cairo.

Wamisri wengi hufanya safari zao kwa kutumia boti kila siku, haswa katika Upper Egypt na Delta ya Nile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live