Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kituo cha Huduma za Pamoja Tanzania & Malawi kukamilika September 2021

B0f9381e6b7384c7bed65ca1162ed3aa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya akikagua mradi wa huduma Mpakanii

Fri, 13 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (OSBP) mwa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu umefikia asilimia 67.1 na unatarajiwa kukamilika mwezi ujao.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya,ameyasema hayo baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa kituo hicho unaojengwa kwa awamu tatu kwa gharama ya zaidi ya Sh bilioni 26. Unaojengwa na Mkandarasi China Geo Engineering Corporation.

“Nitoe wito kwa mhandisi mshauri kuusimiamia mradi huu kikamilifu ili ukamililike kama ulivyopangwa kulingana na mkataba,”

Alisema hadi sasa Mkandarasi hajawasilisha changamoto zozote ambazo zinaweza kumkwamisha asimalize mradi huo kwa wakati, hivyo ni mategemeo yao kuwa kila kitu kitakwenda kama kilivyo pangwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live