Shule moja huko nchini Kenya inayofahamika kama Banja iliyoko kaunti ya Nandi imeanzisha mpango wa kuwaruhusu wazazi kufanya kazi mbalimbali shuleni badala ya kulipa karo ya shule.
Shule moja huko nchini Kenya inayofahamika kama Banja iliyoko kaunti ya Nandi imeanzisha mpango wa kuwaruhusu wazazi kufanya kazi mbalimbali shuleni badala ya kulipa karo ya shule. Wazazi katika kaunti hiyo ya Nandi wanafanya kazi shuleni ili kukimu mahitaji ya karo ya watoto wao kutokana na hali ngumu ya maisha na umaskini hivyo wazazi wengi kukosa kuwalipia watoto karo na hivyo basi kuchangia baadhi ya wanafunzi kusalia nyumbani au kuacha masomo.