Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiongozi wa Upinzani Benin Ahukumiwa Miaka 20 Gerezani Kwa Ugadi

6c972ad0c59a31b4 Reckya Madougou

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa upinzani nchini Benin Reckya Madougou amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani mara baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika kwenye shughuli za ugaidi.

Mahakama hiyo ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi iliyoanzisha mwaka 2016 na Rais wa nchi hiyo Patrice Talon inatajwa kutumika kama fimbo ka wale wote wanaokosoa utawala wa Rais huyo

Reckya ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Haki nchini humo amehukumiwa kwa makosa hayo mara baada ya kesi hiyo kusikilizwa kwa zaidi ya saa 20 siku ya uhukumu hiyo.

Kelele na minong'ono mingi ni juu ya utendai wa haki unaofikiwa na Mahakama hiyo huku wengi wakidai kuwa inatumiwa sana na Mamlaka kama fimbo kwa wapinzani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live