Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiongozi wa Boko Haram adaiwa kujiua

Screenshot 2021 06 07 At 10.11.04 660x400.png Kiongozi wa Boko Haram adaiwa kujiua

Mon, 7 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Abubakar Shekau ambaye ni Kiongozi wa Kundi la Boko Haram nchini Nigeria ameripotiwa kujiua kwa mujibu wa taarifa za Kundi la Islamic State katika Mkoa wa Afrika Magharibi (ISWAP) ambao ni Mahasimu wa Boko Haram.

Sauti inayodhaniwa kuwa ya Kiongozi wa ISWAP, Abu Musab al-Barnawi ilisema Shekau alijilipua, japo mwezi uliopita ilisemekana kwamba Shekau ameuawa.

Msemaji wa Jeshi, Brigedia Jenerali Mohammed Yerima amesema jeshi linachunguza kilichotokea. Kiongozi wa Boko Haram amekuwa akiripotiwa amefariki mara kadhaa lakini huwa anajitokeza.

WOSIA WA TB JOSHUA KUELEKEA BIRTHDAY YAKE “HAITAKUWA RAHISI, SITOWEZA KUSHEREHEKEA”

Chanzo: millardayo.com