Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenyatta apiga marufuku uuzwaji wa pombe Kenya

Pombepicha Kenyatta apiga marufuku uuzwaji wa pombe Kenya

Tue, 28 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais Kenyatta amesema kwamba baa zote zitafungwa mara moja akiongezea kwamba zile ambazo zitakiuka agizo hilo jipya zitapokonywa leseni zao, “hakutakuwa na uuzaji wa pombe katika baa na maeneo ya kuuza vyakula kwa kipindi cha siku 30 zijazo” Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Rais Kenyatta amesema kwamba baa zote zitafungwa mara moja akiongezea kwamba zile ambazo zitakiuka agizo hilo jipya zitapokonywa leseni zao.

“Baa zitakazokiuka agizo hilo zitapokonywa leseni zao, masharti yote ambayo ninayatangaza yataheshimiwa na Wakenya wote bila kujali nyadhfa zao katika jamii” Kenyatta 

Aidha rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa tatu usiku hadi saa kumi na moja alfajiri itaendelea kuwepo kwa kipindi kingine cha siku 30, amewataka Wakenya kufutilia mbali dhana potofu kwamba viwango vya chini vya vifo vina maana kwamba ugonjwa jhio sio hatari.

Chanzo: millardayo.com