Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenyatta afanya 'party' na watoto Ikulu

Kenyatta Atoto (600 X 290) Kenyatta afanya party na watoto Ikulu

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na First Lady Margaret Kenyatta jana wameungana na Watoto wa Wafanyakazi wa Ikulu pamoja na Watoto wengine kutoka maeneo mbalimbali kwenye Christmas Party waliyoiandaa kwenye Viwanja vya Ikulu ya Kenya.

Wakiwa Ikulu Watoto wamefurahia michezo mbalimbali na kupata burudani ya muziki ambapo kwenye hotuba yake fupi Kenyatta amewatakia Watoto hao kheri ya Christmas na Mwaka mpya na kuwakumbusha kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19.

Hata hivyo taifa hilo linakabiliwa na ongezekezo kubwa la maambukizi ya kirusi kipya cha Omicron cha Corona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live