Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya yaagiza dozi Milioni 24 za chanjo ya corona

Screenshot 2020 12 15 At 13.40.07 660x400.png Kenya yaagiza dozi Milioni 24 za chanjo ya corona

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Katika harakati za kupambana na Ugonjwa wa corona, Kenya imeagiza dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona Virus zitakazotosha 20% ya Wakenya.

Dozi hizo zinagharimu Ksh. Bilioni 10 sawa na takriban Tsh. Bilioni 207.83, kiasi ambacho kitachangiwa na Mataifa yaliyoendelea hivyo kila dozi itagharimu Ksh. 320 sawa na Tsh. 6,600.

Katibu Mkuu wa Afya, Patrick Amoth amesema Wafanyakazi waliokuwa kwenye hatari ya kupata maambukizi pamoja na Wazee watapatiwa Chanjo hiyo.

Kenya inakuwa nchi iliyoagiza dozi nyingi zaidi kwa nchi za Afrika Mashariki, Uganda iliagiza dozi Milioni 9.

BREAKING: MWIGIZAJI JENGUA AFARIKI DUNIA

Chanzo: millardayo.com