Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya kuwachukulia hatua watumishi wanaogoma "Chanjo"

Chanjo  Ed Chanjo

Tue, 10 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watumishi wa Umma Nchini Kenya wametakiwa kupata Chanjo dhidi ya #COVID19 kutokana hali ya janga hilo kuzidikuwa mbaya wasiofanya hivyo watachukuliwa hatua za kinidhamu.

Kutokana na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Joseph Kinyua Wafanyakazi wa Serikali wanapaswa kupata chanjo kufikia Agosti 23 2021

Imeripotiwa kumekuwa na mwitikio mdogo wa chanjo kwa Watumishi wa Umma katika Sekta kadhaa zikiwemo Usalama na Walimu na kwamba hali hiyo imeathiri utoaji wa huduma za Umma

Chanzo: www.tanzaniaweb.live