Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya inafikiria kuondoa VISA kwa wageni

Rais Ruto Aupigia Debe Ushuru Wa Nyumba.png Kenya inafikiria kuondoa VISA kwa wageni

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa nchi yake inafikiria kuondoa hitaji la viza kwa wageni.

Ruto aliyasema hayo leo wakati akifungua rasmi Mkutano wa Afrika Climate jijini Nairobi. Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka Afrika na nje.

"Kilomita chache kutoka hapa mlipokaa ,Wanasayansi waligundua na kupata mabaki ya mwanzo ya mwanadamu. Kwa maana hiyo hapa ndio ubinadamu ulipoanzia hivyo nawakaribisha nyumbani"

"Ndani ya miezi michache tunafikiria kuondoa mahitaji yote ya viza, maana sio haki kuomba viza wakati mnakuja nyumbani".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: