Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya imepokea majokofu 12 ya kuhifadhi Chanjo

Kenyan CS Katibu Mkuu wa Afya Kenya , Mutahi Kagwe

Tue, 7 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wizara ya Afya nchini Kenya imepokea majokofu yenye uwezo wa kutunza nyuzi joto mpaka 80 kutoka nchini Japan. Majokofu hayo yatatumika kuhifadhia chanjo za Covid-19 na kuziweka kwenye hali ya ubora zaidi.

Imeelezwa kuwa majokofu hayo yana uwezo wa kutunza chanjo million 3, aina ya Mordena, Pfizer na Johnson $ Johnson.

Katibu Mkuu wa Afya, Mutahi Kagwe, amefafanua kuwa chanjo aina ya Mordena inatakiwa kusafirishwa na kuhifadhiwa kwenye nyuzi njoto -20 ,J$J huifadhiwa kwenye juzi joto +2 mpaka +8 , huku Pfizer huifadhiwa -70.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live