Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya imepokea dozi 880,320 za Moderna

Mordena Chanjo aina ya Mordena

Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Kenya leo September 6, 2021, imepokea chanjo aina ya Mordena dozi 880,320. Shirika la afya Duniani (WHO) limesema chanjo hizo zimetolewea chini ya mpango wa COVAX, unaolenga kununua na kusambaza chanjo za bure kwa nchi zinazoendelea duniani.

Chanjo hizo zimewasili Septemba 6, Ikiwa ni awamu ya pili ya dozi Millioni 1.76 zilizotolewa na serikali ya marekani , awamu ya kwanza Kenya ilipokea chanjo aina ya Johson$Johnson mnamo Agosti 23.

Mapema marchi 2021, Kenya ilipokea chanjo millioni 1 aina ya AstraZenace chanjo hizo zilisafirishwa na shirika la umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto UNICEF kama sehemu ya mpango wa COVAX.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live