Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya: Serikali kudhibiti maudhui ya ngono Tiktok

Marekani Yatishia Kuipiga Marufuku TikTok Iwapo Kenya: Serikali kudhibiti maudhui ya ngono Tiktok

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema hatua hiyo inafuatia kuongezeka kwa maudhui ya aina hiyo kupitia Mitandao ya Kijamii.

Amesema Wizara itapitia upya Miongozo na Kanuni za Udhibiti ili kuzuia mianya inayoruhusu Mitandao ya Kijamii kutumika kinyume na Sheria kwa lengo la kuwalinda Watumiaji wa Mitandao hiyo.

Hivi karibuni Nchini humo kumeibuka mtindo maarufu kwa watumiaji wa TikTok kurusha Mubashara maudhui yanayohusisha Vitendo vya Ngono kuanzia saa 5 hadi saa 9 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live