Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya: Rais Ruto atangaza shule kufunguliwa Jumatatu

Ruto Un Baraza Yusalama Kenya: Rais Ruto atangaza shule kufunguliwa Jumatatu

Wed, 8 May 2024 Chanzo: Bbc

Rais William Ruto ametangaza kuwa shule zitafunguliwa Jumatatu, Mei 13, 2023.

Ruto ametangaza hayo baada ya kupata ushauri kutoka mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa.

Wiki iliyopita wakati rais anatoa hotuba yake kwa taifa, alitangaza kuwa shule zimefungwa kwa muda usiojulikana kwasababu ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini humo.

Chanzo: Bbc