Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya: Ofisi ya DPP kupokea malalamiko mtandaoni

Dpp Kenya Kenya: Ofisi ya DPP kupokea malalamiko mtandaoni

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imezindua jukwaa la kidijitali ambapo Wakenya wanaweza kuwasilisha malalamiko na kuomba ukaguzi wa kesi mtandaoni.

Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imezindua jukwaa la kidijitali ambapo Wakenya wanaweza kuwasilisha malalamiko na kuomba ukaguzi wa kesi mtandaoni. Jukwaa hilo linalojulikana kama Malalamishi System, linawapa Wananchi fursa ya kuwasilisha malalamiko ya jinai kwa ODPP, kutoa nafasi kwa Whistleblowers na pia itarahisisha ufuatiliaji wa hali ya kesi kwani namba ya kumbukumbu itatolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live